Capital Markets & Securities Authority
Home     Sitemap     Web Mail     FAQ     Contact Us
 
Search:
About CMSA      Legislations      Information      Downloads      News      Links
Contact Us    Investor Complaint Form (English Version)
Contact Us
Feedback
Complaints
 
- English version
 
- Kiswahili version
 
 
Investor Complaint Form (English version)

Unaweza kutumia fomu hii kuwasilisha malalamiko yako kwa Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA).

Unaweza pia ukachapa fomu hii na kuituma kwa njia ya posta, barua pepe au njia nyingine yoyote ya haraka.

 
Ndiyo, tuma fomu kwenye kampuni. Hapana, usitume fomu kwenye kampuni. [Ukichagua “Hapana”, tutarekodi malalamiko yako kwenye mfumo wetu, lakini hatukusaidii zaidi ya hapo]
 
Taarifa zako Binafsi
 
    * Kukiwa na alama hiyo ya nyota ni lazima sehemu hiyo ijazwe
* Bw/Bibi/Bi :
* Jina la Kwanza :
Jina la Katikati :
* Jina la Ukoo :
* Anuani ya mtaa :
Anuani (inaendelea) :
* Mji :
* Wilaya, Mkoa. :
* Anuani ya Posta :
* Nchi :
Simu ya Ofisini :
Simu ya Nyumbani au Mkononi :
Namba ya Faksi :
* Barua pepe :
* Wewe ni raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania? :
Maelezo Yanayohusu Mlalamikiwa
 
Jina la Kampuni :
Shughuli za Kampuni :
Dalali wa Soko la Hisa,Mshauri wa Uwekezaji, Muuzaji, Mwakili wa Dalali
Nyingineyo (tafadhali itaje)
:
Anuani ya mtaa :
Anuani (inaendelea) :
Mji :
Wilaya, Mkoa :
Nchi :
 
Maelezo Kuhusu Uwekezaji
 
Aina ya Dhamana :    Hisa, Hatifungani, Vipande vya Uwekezaji
Namba ya Kitambulisho :
Jina la Aliyetoa dhamana/ nyingine (tafadhali taja)
:
 
Maelezo Kuhusu Malalamiko Yako
 
* Tafadhali elezea malalamiko yako kwa undani kwa kiasi kinachowezekana – ukionyesha jina, siku, tarehe ambapo dhamana/ hisa ilinunuliwa/ kuuzwa, majina ya wafanyakazi wa kampuni uliowasiliana nao kuhusu malalamiko yako.
   
Vielelezo ulivyonavyo ambavyo unaweza kuviwakilisha tukiviomba
 
Cheki iliyofutwa
Stakabadhi
Barua au Mawasiliano yoyote na kampuni
Matangazo ya kawaida au ya kibiashara
Nyaraka Nyinginezo, [Tafadhali eleza kuhusu nyaraka nyinginezo ambazo unaweza kuziwakilisha]
Tell Us What Action You Have Taken
 
Umepeleka malalamiko yako kwenye Kampuni unayolalamikia?
  Ndiyo   Hapana
Umewasiliana na Taasisi au Wasimamizi wa au Mamlaka ya Soko la Hisa?
  Ndiyo   Hapana
Kama jibu ni Ndiyo, wataje kama ilivyoonyeshwa hapa chini:
 
Chama cha Madalali wa Soko la Hisa
Wasimamizi wengine hapa Tanzania
Wasimamizi wengine nje ya nchi.
Soko la Hisa [ Tafadhali taja jina la Soko la Hisa ulilowasiliana nalo]
Nyinginezo [Tafadhali taja Wasimamizi/ Mamlaka ulizowasiliana nazo]
Umeshachukua hatua zozote za kisheria? Kama Jibu ni Ndiyo, zitaje kama zilivyoonyeshwa hapa chini.
 
Upatanisho wa kawaida
Upatanisho wa kisheria
Mahakamani
Elezea hatua zozote za kisheria ulizokwisha chukua.
 
 
   
 
 
© 2006 CMSA. All rights reserved. Solution by Affno. Terms & Conditions